Mafunzo ya msamiati Kadi za mafunzo Mchezo wa kulinganisha Mchezo wa Tic-tac-toe Mchezo wa umakinifu Mchezo wa kusikiliza
Loading ....

Msamiati

Mgahawa mzuri uko wapi?
Tunahitaji meza ya watu wanne
Ningependa kuhifadhi meza ya watu wawili
Mhudumu
Mhudumu
Naweza kuona menyu?
Unapendekeza nini?
Ni pamoja na nini?
Je, inakuja pamoja na saladi?
Supu ya siku ni gani?
Chakula maalum cha siku ni gani?
Ungependa kula nini?
Kitindamlo cha siku